Skip to main content

Rais Suluhu aangazia umoja wa Wakenya na Watanzania katika hotuba yake kwa Bunge

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Wakenya na Watanzania kuungana na kutangamana ili kuhamasisha uhusiano wao wa kibiashara na udugu.

Akihutubia Wabunge takribani mia moja na hamsini kutoka kwa Mabunge yote mawili katika Kikao cha Pamoja cha Bunge, Rais Suluhu aliangazia sana faida za muungano wa Wakenya na Watanzania katika ngazi mbalimbali.

Rais Samia Suluhu Hassan Kuzuru Bunge la Kenya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kutembelea maeneo ya Bunge hivi leo. Baadaye, hapo kesho adhuhuri, Rais huyo ameratibiwa kuhutubia Bunge katika Kikao Maalum. Rais Suluhu anatarajiwa kutoa heshima katika kaburi la Rais wa kwanza wa Kenya, hayati Mzee Jomo Kenyatta.

Subscribe to Parliament
The website encountered an unexpected error. Please try again later.