Mkutano wa Kitengo cha Kiswahili na Ukatibu wa Kamati ya Haki,Sheria na Haki za Binadamu ya Seneti pamoja na wataalamu wa Kiswahili ili kuhakiki na kuidhinisha Mswada wa Katiba ya Kenya (Marekebisho) |Miswada ya Seneti Na. 13 ya 2025) na Nyaraka husika
Mkutano wa Kitengo cha Kiswahili na ukatibu wa Kamati ya Haki, Sheria na Haki za Binadamu pamoja na wataalamu wa Kiswahili ili kuhakiki na kuidhinisha Mswada wa Katiba ya Kenya (Marekebisho) ( Miswada ya Seneti Na. 13 ya 2025) na Nyaraka husika uliofanyika katika Hoteli ya Sawela kuanzia tarehe 14 - 17, 2025. Mswada na Nyaraka husika zitachapishwa na kusambazwa wakati wa kushirikisha umma.